Mtunzi: Gregory J.A Mdalingwa
> Mfahamu Zaidi Gregory J.A Mdalingwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gregory J.A Mdalingwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gregory J.A. Mdalingwa
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiKiitikio:
Tubite tumpokele Yesu Kristo, Mumaumbo gamkate na divai, gavisile sambino whewhe twele×2
Maimbilizi:
1. Hiki ni chakula kwaajili yetu, tushiriki mwili na damu ya Yesu, kwa karamu nasi tutakatifuzwe
2. Karibuni waamini mliojiandaa, kushiriki mwili na damu ya Yesu, kwa karamu nanyi mtakatifuzwe
3. Jongeeni waamini wenye moyo safi, kushiriki mwili na damu ya Yesu, kwa karamu nanyi mtakatifuzwe