Ingia / Jisajili

Twendeni Na Amani

Mtunzi: Gregory J.A Mdalingwa
> Mfahamu Zaidi Gregory J.A Mdalingwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gregory J.A Mdalingwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Gregory J.A. Mdalingwa

Umepakuliwa mara 28 | Umetazamwa mara 121

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Twendeni na amani ya Kristo, twendeni na amani ya Kristo×2 1. Twendeni na amani ya Kristo, tukitafakari neno lake na kuliishi, kwani neno lake ndio mwongozo wetu. 2. Twendeni na amani ya Kristo, tukieneza imani tumaini mapendo, tukiishi kwa amani na upendo mkuu.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa