Mtunzi: Mmole G.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mmole G.
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Gereon Mmole
Umepakuliwa mara 508 | Umetazamwa mara 1,631
Download Nota Download MidiKiitikio:
Leo ni shangwe kubwa sote tufurahie,
(Hongera twakupongeza Mwalimu Galus Malekela, kwa kuitimiza miaka ishirini na tano ya ukatekista)x2
Viimbilizi:
1. Mungu akujalie afya njema baraka na hekima,ili uifanye kazi yake kwa upendo.
2. Mungu akujalie karama za Roho Mtakatifu, ili uongoze vema wanafunzi wako.
3. Wewe na familia yako muwe mfano bora sana, wa maisha yampasayo Mkristo kuyaishi.