Ingia / Jisajili

MKAIHUBIRI INJILI

Mtunzi: Thadeo Mluge
> Mfahamu Zaidi Thadeo Mluge
> Tazama Nyimbo nyingine za Thadeo Mluge

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Thadeo Mluge

Umepakuliwa mara 391 | Umetazamwa mara 1,634

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
     
MKAIHUBIRI INJILI.
Na Thadeo Mluge.

1. Aleluya,
    Enyi mataifa yote, msi-fu-ni Bwana,
    Enyi wa-tu wote, mhimidi-ni Bwana, 

Enendeni ulimwenguni mwote,
Mkaihubiri Injili. x2

2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni- kuu,
    Na uaminifu wa Bwana ni wa mile--le.





Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa