Ingia / Jisajili  Changia

Tunakimbilia Ulinzi Wako

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 1,523 | Umetazamwa mara 7,130

Download Nota (TZS 20) Download Midi
Maneno ya wimbo

Tunakimbilia ulinzi wako Mzazi Mtakatifu wa Mungu;
usitunyime, usitunyime tukiomba, tukiomba katika shida zetu;

//:utuokoe siku zote kila tuingiapo hatarini, ewe Bikira Mtukufu, Bikira Mtukufu mwenye baraka://

Amina amina amina amina amina.


Maoni - Toa Maoni

Joël mawesi Feb 20, 2020
Nous avons besoin de la partition de la chanson titré : tunakimbilia ulinzi wako de FURAHA MBUCHI

Toa Maoni yako hapa