Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria
Umepakiwa na: Furaha Mbughi
Umepakuliwa mara 846 | Umetazamwa mara 2,617
Download Nota Download MidiTunakimbilia ulinzi wako mzazi Mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu x2. Utuopoe (siku zote) kila tuingiapo hatarini; Ewe Bikira mtukufu mwenye baraka x2. 1. Mama wa Mungu, ewe Bikira Maria, utuombee kwa mwanao Yesu. 2. Mama Maria, sisi twakukimbilia, usitunyime kila tuombapo. 3. Mama wa Mungu, mama usiye na doa, utuombee kwa mwanao Yesu.