Ingia / Jisajili

Tunamtazamia Mwokozi

Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Himery Msigwa

Umepakuliwa mara 235 | Umetazamwa mara 835

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tunamtazamia Mwokozi Bwana wetu Yesu Kristo atakayeubadili mwili wetu wa unyonge upate kufanana na mwili wake wa utukufu x2 1.Kama mkulima angojavyo mazao ya nchi yaliyo na thamani huvumilia hata ya pate mvua ya kwanza na ya mwisho. 2.Tuitengeneze njia ya Bwana tuyanyooshe mapito yake Bwana anakuja kwetu anakuja na enzi kutuokoa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa