Ingia / Jisajili

Tunatumwa Kuihubiri Injili

Mtunzi: Steven kiteve
> Mfahamu Zaidi Steven kiteve
> Tazama Nyimbo nyingine za Steven kiteve

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Steven Kiteve

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tunatumwa kuihubiri Injili ya Bwana, kuwatangazia watu habari njema. Nasi tufanyike mashuhuda kwa maneno na matendo yetu, wamfuase Kristo.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa