Mtunzi: Steven kiteve
> Mfahamu Zaidi Steven kiteve
> Tazama Nyimbo nyingine za Steven kiteve
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Steven Kiteve
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiTunamshukuru Mungu wa zawadi ya imani, iliyotufikia sisi watoto, kwa njia ya kanisa lake Takatifu. Sisi watoto tusimame imara, tuilinde vema imani yetu, Imani iliyo zawadi ya Mungu kwetu, tuwafundishe watoto wenzetu.