Ingia / Jisajili

TUOKOE NA GONJWA LA CORONA

Mtunzi: Daniel Denis
> Mfahamu Zaidi Daniel Denis
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel Denis

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Daniel Denis

Umepakuliwa mara 237 | Umetazamwa mara 1,302

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chorus: Ee Mungu tuokoe wana wako,tuokoe na gonjwa la Corona 1.Gonjwa la Corona ni Matokeo ya dhambi zetu 2.Twatubu mbele yako, twatubu makosa yetu yote. 3.Twaomba uwape uwezo wanasayansi wetu waweze kupata tiba ya gonjwa hili la Corona.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa