Ingia / Jisajili

Tuvipeleke Vipaji Vyetu.

Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Derick Nducha

Umepakuliwa mara 238 | Umetazamwa mara 865

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tuvipeleke Vipaji vyetu (kwake) kwa Bwana avibariki nasi tupate kubarikiwa. MASHAIRI 1.Kwa upendo wako Mungu twaja kukusemea Asante. 2.Kwa Huruma yako Mungu watulinda dhidi ya Shetani. 3.Nasi kwa Heshima yako twaja kukusemea Asante.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa