Ingia / Jisajili

TWAENI MLE WOTE

Mtunzi: Gaspar Mrema
> Mfahamu Zaidi Gaspar Mrema
> Tazama Nyimbo nyingine za Gaspar Mrema

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: GASPER MREMA

Umepakuliwa mara 486 | Umetazamwa mara 1,665

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Twaeni mle wote huu ni mwili wangu, utakaotolewa kwaajili yenu.

Twaeni mnywe wote hii ni damu yaangu, itakayomwagika kwaajili yenu.

MASHAIRI

  1. Mwili wangu ni chakula kweli, na damu yangu ni kinywaji safi.
  2. Aulaye mwili wangu na kuinywa Damu yangu, atkuwa na uzima
  3. Jongeeni wapendwa kweny karamu, ya Bwana wetu Yesu Kristu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa