Mtunzi: Aristides A. Kahamba
> Mfahamu Zaidi Aristides A. Kahamba
> Tazama Nyimbo nyingine za Aristides A. Kahamba
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Aristides Audax
Umepakuliwa mara 1,619 | Umetazamwa mara 4,567
Download Nota Download MidiHuu ni wakati wa kuitoa sadaka kwa Bwana, njoni wote tuungane tumtolee Mungu
Twende kwa pamoja tukaitoe sadaka kwa Bwana, njoni wote tuungane tumtolee Mungu
hima ndugu yangu hima ndugu twende twendeni kwa pamoja tutoe sadaka ya kumpendeza Mungu
kina baba kina mama na watoto twendeni kwa pamoja, tutoe sadaka ya kumpendeza Mungu.
1.Jiwekee hazina hazina huko Mbinguni utakapokuwako wewe na moyo wako
2.Mavuno uliyopata yote ni kutoka kwake hivyo Ee ndugu yangu kamtolee shukrani
3.Iwe ni moja ya kumi ya yote uliyopata kwani yatoka kwake kamtolee shukrani