Mtunzi: Jonas Kisinini
> Mfahamu Zaidi Jonas Kisinini
> Tazama Nyimbo nyingine za Jonas Kisinini
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Jonas Kisinini
Umepakuliwa mara 565 | Umetazamwa mara 2,932
Download Nota Download MidiTwende mezani tukale chakula bora ( iii&iv ni chakula ) chakula bora cha roho zetu x2. mwili wako ni chakula, damu yako ni kinywaji chakula bora cha roho zetu x2 .
MASHAIRI
1. Mwili wako bwana n i chakula cha uzima, chakula bora cha roho zetu
2. Damu yako bwana ni kinywaji cha uzima , chakula bora cha roho zetu
3. Twendeni tukale wote wote mioyo safi , chakula bora cha roho zetu