Mtunzi: Fr. Kulwa G. Paul
> Mfahamu Zaidi Fr. Kulwa G. Paul
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Kulwa G. Paul
Makundi Nyimbo: Noeli | Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: KULWA GEORGE
Umepakuliwa mara 642 | Umetazamwa mara 2,541
Download NotaTwende sote na zawadi tukampe; mtoto Yesu kule pangoni x2 Tukampe na uvumba, na manemane na ubani; kweli kazaliwa mtoto (mzuri) wa kifalme x2
1. Mtoto leo kazaliwa, mtoto mwanaume; ndiye mtawala wa ulimwengu milele.
2. Twende na zawadi nzuri, tukampe mtoto; ni zawadi za sifa na utukufu wote.
3. Miisho yote ya dunia, imeuona wokovu, imeuona wokovu wa Mungu wetu.
4. Twende wote kumwabudu, mfalme wa dunia; mwenye ufalme mabegani mwake.