Ingia / Jisajili

TWENDE TUKATOE SADAKA

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 495 | Umetazamwa mara 1,766

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
A)Twende TUKATOE sadaks tukampe Bwana .B).Wakati Sasa umufika wakutoa sadaka.Ee nyi wapenzi was Bwana TWENDENI TUKATOE tu mto le e Bwana mungu kile tulicho a ndaaX2(1)(A).A mka ndugu ukatoe sadaka kwa Bwana (B)Chochote ulicho nacho ukampe Bwana.(2)(A) Nenda ndugu ukatoe umtolee Bwana.(B).Japo unacho kidogo Katie kwa Bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa