Ingia / Jisajili

Siku Ya Bwana

Mtunzi: Fr. C.P. Charo, OFM Cap.
> Mfahamu Zaidi Fr. C.P. Charo, OFM Cap.
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. C.P. Charo, OFM Cap.

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka

Umepakiwa na: Charles charo

Umepakuliwa mara 491 | Umetazamwa mara 1,465

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana na tuifurahie na tuishangilie sote kwa nyimbo pia ngoma makofi na nderemo x2.

1. Nalifurahi waliponiambia twende nyumba ni mwa Bwana yatupasa tukamwabudu Mungu wetu.

2. Neno moja nalitaka kwa Bwana nikae nyumba ni mwa Bwana siku zote za maisha yangu Mungu wangu.

3. Bwa na yu kari bu nao wo te wa mwi ta o Bwa na yu mwe ma kwa wote wa mwitao naja kwako   Bwana mimi     mnyonge.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa