Mtunzi: K. F. Manyenye
> Mfahamu Zaidi K. F. Manyenye
> Tazama Nyimbo nyingine za K. F. Manyenye
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Kiyaya F. Manyenye
Umepakuliwa mara 1,000 | Umetazamwa mara 2,551
Download NotaTwendeni Bethlehemu tukamwone mtoto Yesu, na Mariamu mamaye na Yoseph baba mlishi wa Yesu x 2
Twende na tunu uvumba na manemane x 2