Ingia / Jisajili

Twendeni Karamuni

Mtunzi: Deogratias R. Kidaha
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias R. Kidaha

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 709 | Umetazamwa mara 3,842

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Twendeni twendeni twendeni twendeni karamuni kwake Bwana tukapate uzima uzima wa milele utokao kwake Bwana x 2

  1. Bwana Yesu ameiandaa karamu kwa ajili yetu ndugu twende tukaipokee.
     
  2. Mwili wake nayo Damu yake, vitatupatia uzima ndugu twende tukavipokee.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa