Ingia / Jisajili

Twendeni Kwa Karamu

Mtunzi: Gregory J.A Mdalingwa
> Mfahamu Zaidi Gregory J.A Mdalingwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gregory J.A Mdalingwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gregory J.A. Mdalingwa

Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 46

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Twendeni kwa karamu, karamu ya uzima, Bwana ametuandalia twendeni tukaipokeeƗ2 1. Aulaye mwili wangu na kuutukuza vema anauzima wa milele asema Bwana 2. Ainywaye damu yangu na kuitukuza vema anauzima wa milele asema Bwana 3. Mwili na damu ya Ye-su, vinathamani na nguvu kuu ya kuondoa dhambi kisha kuwa salama N.B: Beti la tatu waimbe wanaume wote
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa