Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Lawrence Nyansago
Umepakuliwa mara 14,393 | Umetazamwa mara 21,182
Download Nota Download Midi
Twendeni sote kwa Bwana, twende tukatoe vipaji vyetu x 2
Tukamtolee Muumba wetu (twende tukatoe) kwa mfano wa Melkisedeki na pia kwa mfano wa Abeli x 2
1. Tutoe kile tulichonacho, tutoe kwa ukarimu wote, na Bwana atatubarikia
2. Tutoe mazao ya shambani, tutoe kwa ukarimu wote, na Bwana atatubarikia
3. Tutoe fedha za mifukoni, tutoe kwa ukarimu wote, na Bwana atatubarikia