Mtunzi: Joseph Nyagsz
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyagsz
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: JOSEPH MOSIORI
Umepakuliwa mara 409 | Umetazamwa mara 2,305
Download Nota Download MidiU NGOME YANGU
Ee Bwana Mungu wangu uniokoe, kwa maana wewe Bwana we U ngome yangu.*2
1.Nimetenda maovu nimekukosea,kweli mimi mdhambi weqwe ndiwe ngome yangu nakukimbilia.
2.Nafsi yangu Ee Bwana mbona yalemaa, hima njoo ee Bwana kwa maana wewe ndiwe tegemeo langu.
3. 'Mi nafadhaika bila wewe siwezi uje kwangu ee Bwana roho yangu isije ikaangamia.
4. Magonjwa mengi Bwabna na mashaka mengi vimenizunguka na kuweka kiza ndani ya roho yangu
5. Nimo jangwani Bwana sina pa kuelemea nakuita hima ee Bwana uje uwe mwamba na mwokozi wangu.