Mtunzi: Charles Saasita
> Mfahamu Zaidi Charles Saasita
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles Saasita
Makundi Nyimbo: Mama Maria | Pasaka
Umepakiwa na: charles saasita
Umepakuliwa mara 1,369 | Umetazamwa mara 4,208
Download NotaUfurahi, mama Bikira maria, kwa kuwa Kristo amefufuka kutoka kaburini, (aleluya) aleluya. x2
Yeye, uliyemchukua mimba ukamzaa, amefufuka
Yeye, uliyeshuhudia akifamsalabani, amefufuka.
Yeye, ambaye mayahudi walidhani wamemshinda, amefufuka