Ingia / Jisajili

Uje Bwana Kutuokoa

Mtunzi: Felician P. Bukene
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician P. Bukene

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Emmanuel J. R. Nyambo

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  • UJE BWANA KUTUOKOA 
    • Uje, uje, uje Bwana uje, uje, uje Bwana kutuokoa. x2

  • Mashairi:-
    • 1. a/ Huishika kweli huishika kweli milele, huwafanyia hukumu waloonewa.
  • b/ Huwapa wenye njaa huwapa chakula, Bwana huwafungua waliofungwa.

  • 2. a/ Bwana huwafumbua macho waliopofuka, Bwana huwainua walio inama.
  • b/ Bwana huwapenda huwapenda wenye haki, Bwana huwahifadhi hifadhi wageni.

  • 3. a/ Huwategemeza yatima na mjane, Bali njia ya wasio haki huipotosha.
  • b/ Bwana atamiliki milele, Mungu wako Ee Sayuni kizazi hata kizazi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa