Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Majilio | Zaburi
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 1,781 | Umetazamwa mara 3,855
Download Nota Download MidiKiitikio: Uje Bwana Kutuokoa
Mashairi: 1. a) Huishika kweli milele Huwafanyia hukumu walioonewa
b) Huwapa wenye njaa chakula Bwana hufungua waliofungwa
2. a) Bwana huwafumbua macho waliopofuka Bwana huwainua walioinama
b) Bwana huwapenda wenye haki Bwana huwahifadhi wageni
3. a) Huwategemeza yatima na mjane Bali njia ya wasio haki huipotosha
b) Bwana atamiliki milele Mungu wako ee Sayuni kizazi hata kizazi