Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 771 | Umetazamwa mara 2,490
Download Nota Download MidiKiitikio: Ee Yesu wangu mwema unayenipenda upeo
nakushukuru kwa kunilisha mwilio pia kuninywesha
damuyo tena nasema Yesu! AhsanteX2