Ingia / Jisajili

Uje Roho

Mtunzi: Raphael Sweetbert Masokola
> Mfahamu Zaidi Raphael Sweetbert Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za Raphael Sweetbert Masokola

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: RAPHAEL SWEETBERT

Umepakuliwa mara 16 | Umetazamwa mara 32

Download Nota
Maneno ya wimbo
Uje Roho Mtakatifu. Nuru yako itushukie shusha mapaji mfariji wangu niwe imara moyoni mwangu. Hekima ,akili,elimu,shairi ,ibada,nguvu,uchaji wa Mungu ,tushushie paji zako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa