Ingia / Jisajili

Uje Roho Mtakatifu

Mtunzi: Kapchok Raphael Poghisho
> Mfahamu Zaidi Kapchok Raphael Poghisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Kapchok Raphael Poghisho

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Raphael Poghisho

Umepakuliwa mara 201 | Umetazamwa mara 707

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Uje roho mtakatifu utuangaze toka mbingu Roho zetu Kwa mwangao utuangaze toka mbingu 1.Uje baba wa maskini,uje mtoa wa vipaji,uje mwanga wa mioyo 2.Ee mfariji mwema sana,we rafiki mwa nana, ewe Raha mustarehe 3.Kwenye kazi u pumziko,kwenye joto burudisho,umfutaji wa machozi 4.Ewe mwanga mwenye heri,uwajaze waamini,neema yako mioyoni 5.Bila nguvu yako wewe,mwanadamu Hana kitu,kwake yote Yana kosa 6.Osha machafuko yetu,panyeshee pakavu petu,nakuponya majeraha 7.Ulegeze ukaidi,pasha moto ubaridi,nyosha upotovu wote 8.Wape waamini wako,wenye tumaini kwako,wape heri ya mile 9.Wape tuzo ya fadhila,wape mwisho bila ila,wape heri ya milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa