Ingia / Jisajili

Ujio Wako

Mtunzi: Fr Teilo M Lwande AJ
> Mfahamu Zaidi Fr Teilo M Lwande AJ

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Shukrani

Umepakiwa na: Frt. Teilo Mukani

Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 15

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Alhamisi Kuu
- Antifona / Komunio Alhamisi Kuu
- Antifona / Komunio Ijumaa Kuu
- Antifona / Komunio Mkesha wa Pasaka
- Antifona / Komunio Dominika ya Pasaka
- Antifona / Komunio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka A
- Antifona / Komunio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka B
- Antifona / Komunio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo
UJIO WAKO - BY FRT. TEILO M. LWANDE, A.J 1. Ee Yesu mwema mno moyo wangu unayo furaha (ATB: Bwana) kwa neema zako unazo nipa, Moyo uujaze imani nayo matumani (ATB: Bwana) na mapendo yako ee Yesu wangu. Nakushukuru kwa ujio wako kwangu, katika sakramenti ya ekaristia*2 Usikubali nitengwe nawe kamwe, uniumbie ee moyo safi ee Bwana.*2 2. Niongoze ee Bwana katika safari ya Imani (ATB: Bwana) ma-tuma-ini na ya upendo Fadhila hizi Bwana, ziwe kinga kwangu maishani (ATB: Bwana) za kunio-ngoza kutenda mema. 3. Nijalie ee Bwana mapaji ya roho mtakatifu (ATB: Bwana) nizilinde ahadi za ubatizo Nisimame imara ni-tende mema maishani (ATB: Bwana) nitimize ahadi za wito wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa