Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 17,035 | Umetazamwa mara 26,468
Download Nota Download Midi
1. Nani kati ya watawala wote wa falme wa dunia hii aliyewahi kuandaa karamu akaalika watu wote
KIITIKIO
Ni nani kama Bwana Yesu mfalme wa mbingu na nchi anayetualika sote kwenye karamu aliyoiandaa bali tuwe na moyo safi x2
2. Sote tunaalikwa kushiriki kwenye karamu yake Bwana,
tukiwa tajiri au masikini bali tuwe na moyo safi.
3. Ishara ya mapendo makubwa kwetu kutoka kwake Bwana Yesu;
kutoa mwili kutoa damu yake kuzishibisha Roho zetu
4. Ni fundisho kutoka kwake- Bwana tuonye-she ukarimu
kwa ndugu rafiki au majirani daima maishani mwetu