Ingia / Jisajili

Tazama Naleta Ahadi

Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 63 | Umetazamwa mara 203

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama naleta juu yenu naileta ahadi ya Baba yangu kaeni mjini humu mvikwe uwezo kutoka juu Bwana wetu Yesu aliyasema hayo akiwaahidi wanafunzi wake kumleta Roho Mtakatifu aiimarishe imani yao ili wahubiri injili yake Bwana popote duniani

1. Kabla ya kuteswa Bwana wetu Yesu alishushiwa Roho kisha kufufuka alimleta huyo Roho kwetu sisi

2. Kabla ya kupaa Bwana wetu Yesu alitoa ahadi kumleta Roho ili aimarishe mafundisho yake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa