Ingia / Jisajili

Ukaristia Chakula Bora

Mtunzi: Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Mfahamu Zaidi Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alphonce Andrew Otieno Obonyo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alphonce Andrew Otieno Obonyo

Umepakuliwa mara 29 | Umetazamwa mara 48

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ukaristia ni chakula (bora) kweli, tumealikwa njoni nyote tuka mpokee*2 1.mwili wake bwana ni chakula cha uzima njooni pamoja tuka mpokee mwokozi yesu. 2.damu yake bwana kinywaji bora bwana asema, aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anauzima wa milele 3. Moyo wangu wajawa na furaha tele, niki mtazama mwokozi Yesu, yu mzima kwa hostia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa