Ingia / Jisajili

ULIMI WANGU NA UGANDAMANE Zaburi 137

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 965 | Umetazamwa mara 2,549

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Ulimi wangu na ugandamane na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka nisipokukumbuka. 1.Kando ya mito ya babeli ndiko tulikoketi tukalia tulipoikumbuka sayuni, katika mito iliyo katikati yake, tulivitundika vinubi vyetu. 2.Maana hao waliotuchukua mateka, walitaka tumwimbie, na waliotuonea walitaka furaha; tumwimbie baadhi ya nyimbo za sayuni. 3.Tuimbe je wimbo wa Bwana katika nchi ya ugeni, Ee Yerusalemu nikikusahau wewe, mkono wangu wa kuume na usahau. 4.Ulimi wangu na ugandame na kaakaa la kinywa changu nisipokumbuka, nisipoikuza Yerusalemu zaidi ya furaha yangu iliyo kuu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa