Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi
Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya | Shukrani
Umepakiwa na: Furaha Mbughi
Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 7
Download Nota Download MidiAsante Mungu tunashukuru kwa wema wako, umetuvusha mwaka salama x2
Asante Mungu Baba, Asante sana, Asante Mungu umetuvusha mwaka x2.
1. Tunashukuru Mungu wetu asante, umetuvusha mwaka mwingine salama, tunashukuru Mungu asante sana.
2. Ni kwa neema zako Baba asante, wala si kwamba sisi tumetenda mema, upendo wako kwetu ni wa milele.
3. Tumeuona mwaka mpya asante, tunakuomba utujalie baraka, miaka yote tukutukuze Mungu.