Mtunzi: Fausto C. Kazi
> Mfahamu Zaidi Fausto C. Kazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Fausto C. Kazi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 781 | Umetazamwa mara 3,204
Download Nota Download MidiEe Bwana wa rehema umjalie pumziko la milele na mwanga wa milele umuangazie Charles x 2.
Mashairi:
1. Tunakuomba umpokee miongoni mwa wateule wako, Saasita.
2. Umrehemu Bwana dhambi zake na umpokee kwenye makao yako, Saasita.
3. Tunakuomba Mungu usikilize sala zetu na kwa mapenzi yako jalia.