Mtunzi: Alvin Marie
> Mfahamu Zaidi Alvin Marie
> Tazama Nyimbo nyingine za Alvin Marie
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alvin Marie
Umepakuliwa mara 150 | Umetazamwa mara 828
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Ubatizo wa Bwana
Umsifu bwana ee roho yangu, umsifu bwana ee roho yangu. Wewe bwana Mungu wangu u mkuu sana, umejivika fahari pia na adhama