Ingia / Jisajili

Unifundishe Amri Zako

Mtunzi: Barnabas $alamba
> Mfahamu Zaidi Barnabas $alamba
> Tazama Nyimbo nyingine za Barnabas $alamba

Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Barnabas Salamba

Umepakuliwa mara 33 | Umetazamwa mara 38

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Unifundishe amri zako x2 Ee Bwana umetukuka unifundishe amri zako 1.jinsi kijana aisafishe njia yake kwa kutii akilifuata neno lako kwa moyo wangu nimekutafuta usiniache nipotee mbali na maagizo yako 2. moyoni mwangu nimeliweka neno lako nisije nikakutenda dhambi ee Bwana umehimidiwa unifundishe amri zako . 3.kwa midomo yangu nimezisimulia hukumu zote za kinywa changu nimefurahi njia zako na shuhuda zako kanakwamba ni mali mengi, ni mali mengi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa