Ingia / Jisajili

Nchi Imejaa Fadhili Za Bwana

Mtunzi: S. B. Mutta
> Tazama Nyimbo nyingine za S. B. Mutta

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 6,269 | Umetazamwa mara 10,791

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nchi imejaa fadhili za Bwana x 2
Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika, kwa Neno lake Bwana mbingu zilifanyika Aleluya x 2

  1. Bwana huzipenda haki na hukumu, nayo nchi imejaa fadhili za Bwana
     
  2. Kwa neno la Bwana mbingu hufanyika, nalo jeshi lake kwa pumzi ya kinywa chake.
     
  3. Nchi yote imwogope Bwana Mungu, na watu wakaao duniani na wamche.
     
  4. Shauri lake lasimama milele, makusudi ya moyo ni kwa vizazi vyote.


Maoni - Toa Maoni

Amos Aug 23, 2019
Wimbo mzr San naupenda unanikumbusha matukio lkn mm nautaka mzima mitandaoni siuoni niupate wapi

Manfred Apr 08, 2018
Ningependa pia huu wimbo mngeweka na audio yake kamili ukiacha midi pekee

Evodius Mwasanje Mar 31, 2018
Nikiusikia huu wimbo nasisimka sana. Big up Mr. Mutta, Mungu akuzidishie.

Madam Edwiga Upendo May 02, 2017
Jamani huu wimbo nauoenda sana....hongera sana kwa wimbo mzuri

Toa Maoni yako hapa