Ingia / Jisajili

Upendo Wa Mungu

Mtunzi: Deogratias R. Kidaha
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias R. Kidaha

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,171 | Umetazamwa mara 5,060

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Upendo upendo upendo wa Bwana Mungu wetu upendo wa Bwana Mungu wetu ni Upendo mkubwa sana x 2

  1. Atupatia chakula, na nguvu za kufanya kazi, hakika upendo wake Mungu ni upendo mkubwa sana.
     
  2. Atukinga na ajali, atuponya magonjwa yetu, hakika upendo wake Mungu ni upendo mkubwa sana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa