Ingia / Jisajili

Upokee Bwana

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 151 | Umetazamwa mara 811

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
UPOKEE EE Bwana Mungu UPOKEE sadaka twakutolea.x2(1).Pokea na nafsi zetu.pokea na nyoyo zetu pokea na shida zetu .UPOKEE.(2).Pokea na mkate huu pokea hi.tunaomba EE Bwana uvipokee.(3).Vituvingine ulivyo viumba ndivyo tunakutolea ukatupa EE Bwana viwe vyeetu.(4).Uje uka vitakase vitufae Roho zetu ilitupate uzima wamilele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa