Ingia / Jisajili

Ingekuwa Heri Leo No1

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 661 | Umetazamwa mara 1,630

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 27 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
INGEKUWA HERI LEO (HERI LEO)MSIKIE SAUTI YAKE(MSIFANYE) MIGUMU MIOYO YENU x 2. FINE          (1) Njoni tumwimbie Bwana.tumfanyie shangwe mwamba WA wokovu wetu. Tuje mbele zake kwa shukrani.tumfanyie shangwe kwa zaburi.(2) Njoni tuabudu tusujudu.tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba.kwa maana ndiye Mungu wetu.na sisi tu watu wa malisho yake.na kondoo za mkono wake. (3) Ingekuwa heri leo msikie sauti yake.msifanye migumu mioyo yenu.kama vile huko meriba.kama siku ya masa jangwani.wakanipima.wakayaona matendo yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa