Ingia / Jisajili

Mwanadamu Kumbuka

Mtunzi: Fr. Kulwa G. Paul
> Mfahamu Zaidi Fr. Kulwa G. Paul
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Kulwa G. Paul

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi

Umepakiwa na: KULWA GEORGE

Umepakuliwa mara 2,148 | Umetazamwa mara 6,801

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MWANADAMU KUMBUKA Mwanadamu kumbuka kuwa u mavumbi, umeumbwa u mavumbi wewe (u mavumbi) ukumbuke ya kuwa wewe u mavumbi na mavumbini utarudi x2 1. Ewe mwanadamu geuza mwenendo (wako), kwa toba na kutubu dhambi kwa maana Mungu ni mwingi wa rehema. 2. Ingekuwa heri leo msikie (sauti), msikie sauti yake msifanye migumu mioyo yenu. 3. Uniumbie moyo safi (safi), uifanye upya roho yangu na usinitenge na uso wako. 4. Atukuzwe Baba, Atukuzwe Mwana (Mwana), Atukuzwe Roho Mtakatifu, kama mwanzo na sasa na sikuzote. Amina

Maoni - Toa Maoni

Veronica onesmo faru Mar 08, 2024
Hongera bwana akubaliki

Toa Maoni yako hapa