Mtunzi: Frt. Godfrey Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Godfrey Masokola
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Godfrey MASOKOLA
Umepakuliwa mara 915 | Umetazamwa mara 3,176
Download Nota Download MidiKiitikio: Upokee vipaji vyetu Bwana, upokee vipaji vyetu Bwa-na x 2.
1. Twavileta mbele yako Bwana Mwema, vibariki vitakase Mungu wetu, twavileta kwako Bwana Mungu pokea
2. Mkate na divai baba tunaleta,kiini cha ngano tunda la mzabibu, vigeuze viwe mwili na damu yako
3.Mazao ya mashambani tunaleta, kazi ya mikono yetu Bwana mwema, uyabariki bwana uyatakase.
4.Nafsi zetu nyofu Bwana zipokee, sala zetu mbele yako Bwana zipendeze,, utubariki Baba mwema tutakase