Ingia / Jisajili

Utanijulisha Njia

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 31 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

UTANIJULISHA NJIA

Utanijlisha njia ya uzima, mbele ya uso wako ziko furaha tele, Ee Bwana x2

1. Maana hutakuachia kuzimu, nafsi yangu, wala hutamtoa mtakatifu wako, aone uharibifu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa