Ingia / Jisajili

Utuangazishe Uso Wako.

Mtunzi: Anophrine D. Shirima
> Mfahamu Zaidi Anophrine D. Shirima
> Tazama Nyimbo nyingine za Anophrine D. Shirima

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Anophrine desdeus

Umepakuliwa mara 346 | Umetazamwa mara 974

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu uturudishe, utuangazishe uso wako, nasi tutaokoka. 1. Wewe uchungaye Israeli twakuomba usikie, wewe uketiye juu ya makerubi utoe nuru, uziamshe nguvu zako uje utuokoe. 2. Ee Mungu wa majeshi twakusihi urudi utizame kutoka juu uone,uujilie mzabibu huu, na mche ule ulioupanda kwa mkono wako, na tawi lile ulilolifanya kwa nafsi yako. 3. Mkono wako uwe juu ya mtu wako wa mkono wa kuume, juu ya mwanadamu uliyemfanya imarakwa nafsi yako, basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma, utuhuishe nasi tutaliitia jina lako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa