Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 3,749 | Umetazamwa mara 8,137
Download Nota Download MidiBERNARD MUKASA
NOVEMBER 2011
Tunakutumikia duniani Bwana utukumbuke mbinguni,
Twakutumikia duniani Bwana utukumbuke mbinguni
Usiyahesabu mapungufu yetu uturehemu,
Tuko hima yetu utupokee
1. Usizisahau, juhudi zetu japo ni duni, zipokee.
2. Tunayojaribu, uyabariki yahesabiwe, mbele yako.
3. Tulipo anguka, usihesabu kwa kuwa Yesu, katufia.
Hitimisho:
Ahee utukumbuke huko uliko Baba (Baba yetu mwema) Twakutumikia tufike kwako (Ohoo|Ahaa) juu x2