Ingia / Jisajili

UWATAKASE HAWA

Mtunzi: Deo Kalolela
> Mfahamu Zaidi Deo Kalolela
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Kalolela

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA

Umepakuliwa mara 774 | Umetazamwa mara 1,754

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Uwatakase hawa wapenzi wa wili Bwana wanakuja kwako kuomba baraka kwa moyo wako wa mapendo uwabariki. BETI 1.Bwana uwaunganishe hawa watubishi wako uwape baraka zako na neema zako bwana 2. Twakuomba wajalie hawa watumishi wako hayo wanayopokea watimize kwa mapendo 3. Ee mungu baba wewe ulipomuumba mwanadamu ulitaka waishi kama mke na mume

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa