Ingia / Jisajili

Uwe kwangu Mwamba

Mtunzi: W. A. Chotamasege
> Mfahamu Zaidi W. A. Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za W. A. Chotamasege

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege

Umepakuliwa mara 161 | Umetazamwa mara 717

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 6 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 6 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 6 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 4 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Uwe kwangu mwamba wa nguvu nyumba yenye maboma ya kuniokoa x2 1. Ndiwe genge langu na ngome yangu kwa ajili ya jina lako unichunge

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa