Ingia / Jisajili

Vema Mtumishi Mwema

Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 1,117 | Umetazamwa mara 2,959

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Vema mtumishi mwema na mwaminifu x2
Ingia katika furaha ya Bwana wako x2

  1. Ulikuwa mwaminifu juu ya machache nitakuweka juu ya mengi.
     
  2. Neno la Bwana neno la Bwana kwa Bwana wangu uketi uketi mkono wangu wa kuume.
     
  3. Hata niwafanyapo adui zako adui zako kuwa chini ya miguu miguu yako. 
     
  4. Bwana atainyosha toka Sayuni fimbo ya nguvu zako uwe na enzi na enzi katikati ya adui zako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa