Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 32,466 | Umetazamwa mara 50,101
Download Nota Download MidiAulaye mwili wangu nakuinywa damu yangu asema Bwana hukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake x2
1. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu ana uzima wa milele
2. Njoni enyi wenye njaa njoni enyi wenye kiu njoni kwangu niwabishe
3. Aniaminiye mimi nakushika nisemayo nitamfufua siku ya mwisho
4. Mlapo chakula hiki mnwapo kikombe hiki mwatangaza kifo cha Bwana